Mamlaka ya Huduma ya Hali ya Hewa nchini imetabiri mvua katika maeneo kadhaa ya nchi wiki hii, huku msimu wa mvua fupi ya Oktoba hadi Disemba ukianza. Katika taarifa iliyotolewa janai, mamlaka hiyo ilisema mvua inatarajiwa katika maeneo ya kaunti za West Pokot, Siaya, Elgeyo Marakwet, Bungoma, Kakamega, Nakuru na kwingineko. Pia, mamlaka hiyo ilitabiri upepo mkali unaovuma kutoka kusini au kusini-mashariki kwa kasi katika maeneo ya kaunti za Turkana, Samburu na Marsabit.
Advertisement
October 9, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing