Naibu Rais Kithure Kindiki amewataka wanasiasa kujiepusha na vita dhidi ya pombe haramu. Akizungumza huko Gatanga, Kaunti ya Murang’a, Kindiki alisema kuwa muundo wa utawala wa serikali kuu una uwezo wa kutosha kukabiliana na tatizo hilo kwa ushirikiano wa wananchi. Alisema kuwa wanaume wamepoteza uwezo wa kufanya kazi na majukumu yao kutokana na pombe hizo, huku wazazi wakiomboleza vifo vya watoto wao wakiwa katika umri wa kuwa na tija zaidi.

KITHURE KINDIKI - MUNGU