Mameneja wa vituo vya Huduma wanawasihi Wakenya kukusanya stakabadhi zao ambazo hazijachukuliwa katika vituo hivyo. Meneja wa Kituo cha Huduma Machakos, Owen Mungai anasema vitambulisho, na leseni za udereva ni miongoni mwa hati ambazo zimebaki katika kituo hicho, akiwasihi wakaazi wa Machakos kutembelea na kuzichukua.
OWEN MUNGAI - APPEAL