Angalau wachimbaji migodi wanne wamefariki baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka katika eneo la Kambi Karaya, Pokot ya Kati, Kaunti ya Pokot Magharibi. Polisi wanasema wachimbaji sita walinaswa chini ya ardhi baada ya handaki walilokuwa wakichimba kuporomoka jioni ya Jumanne. Miili minne ilipatikana, huku mchimbaji mmoja akiokolewa akiwa hai na kupelekwa hospitalini katika hali mahututi. Miili hiyo imepelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Kapenguria huku uchunguzi wa tukio hilo ukiendelea.
Advertisement
October 8, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing