Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, anataka taarifa kutoka kwa Kamati ya Seneti ya Sheria, Haki na Masuala ya Kikatiba kuhusu mipango ya Kaunti ya Kilifi ya kuzika miili 443 na iliyopatikana katika mkasa wa Shakahola kabla ya mwezi wa Disemba. Seneta Sifuna anahoji kuhusu hatua iliyofikiwa katika uchunguzi wa DNA na taratibu nyingine za utambuzi wa kitaalamu, pamoja na iwapo jamaa wa watu waliopotea wameshirikishwa kikamilifu kabla ya miili hiyo kuzikwa.

EDWIN SIFUNA – BODIES