Tume ya NCIC imehimizwa kufuatilia kwa karibu utiifu wa maagizo yanayowataka washukiwa wa matamshi ya chuki kuomba radhi kwa umma na kutathmini kama hatua hiyo inazuia makosa ya siku zijazo. Mtaalamu wa utawala Alex Manyasi anasema mbinu hiyo inaweza kukuza marekebisho na kuzuia lakini inapaswa kupitiwa upya ikiwa itashindwa kufikia matokeo yaliyokusudiwa.

ALEX MANYASI-NCIC