Sekta ya utalii nchini imewahakikishia wageni na wadau wa kimataifa wa sekta ya usafiri kuhusu usalama wao, ikielezea kisa cha Ebola kilichoripotiwa kuwa tukio la pekee ambalo tayari limetambuliwa, kudhibitiwa na kuwekwa chini ya udhibiti. Waziri wa Utalii Rebecca Miano, jana alisema kuwa Wizara hiyo imechukua hatua za pamoja na Wizara ya Afya ili kuhakikisha kuwa taratibu za usalama wa wageni nchini Kenya zinaendelea kuwa imara. 

REBECCA MIANO – SAFETY