Shirika la afya duniani WHO linashauri dhidi ya vikwazo vya usafiri au biashara vinavyohusisha Kenya, Uganda na DRC kufuatia uthibitisho wa kisa cha Ebola nchini Kenya. Mkurugenzi Mkuu wa WHO Tedros Ghebreyesus anasema kwa sasa hakuna msingi wa vikwazo hivyo kulingana na taarifa zilizopo. WHO inasema itaendelea kufuatilia hali hiyo na kuthibitisha hatua zozote za usafiri na biashara zilizoanzishwa ili kukabiliana na mkurupuko wa Ebola.

 

VOX POP – EBOLA