Baraza la Magavana sasa linatoa wito wa tahadhari zaidi katika kaunti huku nchi ikitangaza kisa chake cha kwanza cha virusi vya Ebola. Kulingana na makamu mwenyekiti wa Baraza hilo Muthomi Njuki, wakaazi wengi katika kaunti wamepuuza maadili ya msingi ya kuzuia magonjwa kama vile kunawa mikono na hivyo kuruhusu kuenea kwa magonjwa.
MUTHOMI NJUKI – VIGILANCE