Kupanda kwa gharama ya maisha kunawalazimu Wakenya wengi kuzingatia zaidi kukidhi mahitaji ya haraka, huku kukiwa na nafasi finyu ya kupanga mipango ya kifedha ya muda mrefu. Mtaalamu wa masuala ya fedha, Amos Ngahu, anasema shinikizo hilo limewafanya watu wengi kuishi kwa mtazamo wa kuhakikisha wanaendelea kuishi (survival mode), jambo linaloathiri maamuzi yao ya kifedha.

AMOS NGAHU-SURVIVAL