Kamati ya Seneti ya Fedha na Bajeti imeeleza wasiwasi wake kuhusu usimamizi wa fedha katika serikali za kaunti, hasa matumizi ya mfumo wa bajeti inayozingatia programu. Mwenyekiti wa kamati hiyo, ambaye pia ni Seneta wa Mandera, Ali Roba, anasema mfumo huo wa bajeti umepunguza uwazi wa vipengele mahususi vya matumizi, jambo linaloweza kudhoofisha ushiriki wa umma na uwajibikaji. Roba aliitaka Tume ya Ugavi wa Mapato kutathmini iwapo bajeti inayozingatia programu imeleta matokeo bora zaidi kuliko mfumo wa awali wa bajeti iliyoainisha kila kipengele cha matumizi.
Advertisement
October 6, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing