Kama sehemu ya maendeleo endelevu ya kazi na mipango ya maendeleo ya kitaaluma, Muungano wa Kitaifa wa Walimu Nchini KUNT umetia saini MoU na vyuo vikuu vitano. Ukitangazwa na Katibu Mkuu wa KNUT Collins Oyuu wakati wa sherehe za Siku ya Walimu Duniani, ushirikiano huo wa kimkakati unalenga kumwezesha kila mwalimu wa shule ya msingi kuboresha sifa zake na kuwa na shahada.
COLLINS OYUU – DEGREE