Hospitali ya Taifa ya Kenyatta (KNH) imetoa ilani ya siku saba kwa umma ili watu wajitokeze kutambua na kuchukua miili ambayo inahifadhiwa katika chumba chake cha kuhifadhia maiti. Hospitali hiyo imesema ina idadi ya miili ambayo haijachukuliwa na imewataka wananchi wanaohusika kujitokeza na kuitambua. Tangazo hilo limetolewa kwa mujibu wa Sheria ya Afya ya Umma.
Advertisement
October 6, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing