Kiongozi mpya wa chama cha The Equitable Party (TEP), Edwin Sifuna, ameahidi kuendelea kuwa kiongozi mahiri huku akijiandaa kuwania urais katika uchaguzi wa mwaka 2027. Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa chama hicho, Sifuna aliahidi kukiongoza chama kwa uadilifu na maadili mema ya kisiasa. Mgombea huyo wa urais alisema kuwa chama hicho kitaweka kipaumbele katika mabadiliko na uongozi unaowajali wananchi, sera ambayo anaamini itakuwa suluhisho la changamoto za kisiasa nchini Kenya.

EDWIN SIFUNA - LISTEN