Idara ya Hali ya Hewa nchini imetoa tahadhari kuhusu mvua nyingi kupita kiasi katika maeneo kadhaa nchini na kutangaza tarehe mahususi za kuanza kwa mvua hiyo. Kaimu Mkuu wa Idara hiyo, Edward Muriuki, alisema mvua imeanza katika baadhi ya maeneo ya kaunti 24—ikiwemo Pwani, Magharibi na Bonde la Ufa. Alisema kaunti zilizosalia zitapata mvua katika wiki hii au wiki inayofuata, huku Turkana na Samburu zikitarajiwa kuwa za mwisho kushuhudia kuanza kwa mvua katika wiki ya tatu au ya nne ya Oktoba.
Advertisement
October 5, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing