Mgombea urais David Maraga ameahidi kuimarisha uadilifu na uwajibikaji katika serikali yake iwapo atachaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Akizungumza na Wakenya wanaoishi Marekani, Maraga aliahidi kuchukua hatua madhubuti dhidi ya ufisadi na kuwafikisha mahakamani viongozi watakaopatikana na hatia ya vitendo hivyo. Mgombea urais huyo wa chama cha UGM pia aliahidi kulinda rasilimali za umma, huku akilaumu sheria dhaifu za kupambana na ufisadi kwa kudhoofisha maendeleo ya kiuchumi ya Kenya.
DAVID MARAGA –CORRUPT