Mwenyekiti wa Baraza la Magavana Ahmed Abdulahi amepinga vikali madai kuhusu uingizaji wa wapiga kura wa kigeni kutoka Somalia kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Akizungumza katika Kaunti ya Meru, Abdulahi alisisitiza kwamba matamshi kama hayo yana madhara kwa nchi na yanaweza kudhoofisha uhalali na uthabiti wa mchakato wa kidemokrasia.

AHMED ABDULAHI - KURA