Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ametangaza mipango ya kubadilisha jina la Chama cha Equitable kuwa vuguvugu la Linda Mwananchi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Akizungumza katika uzinduzi wa chama hicho jijini Nairobi, Sifuna alisema wakuu na wafuasi wa chama hicho, waliosaidia kujenga utambulisho wake wa kisiasa, wamekubali mabadiliko hayo. Hata hivyo, alionya kwamba TEP itadumisha jina lake la sasa ikiwa vikwazo zaidi vitawekwa katika mchakato wa kubadilisha jina hilo.
EDWIN SIFUNA - OBSTACLES