Waziri wa Huduma kwa Umma, Geoffrey Ruku, kwa sasa anaongoza gwaride la kuhitimu kwa zaidi ya vijana elfu 15 wa NYS katika chuo cha mafunzo cha Gilgil. Gwaride hilo la kuhitimu, linalohudhuriwa na wanafamilia pamoja na wageni waalikwa, linaashiria kukamilika kwa miezi sita ya mafunzo makali ya kimwili na ya kijeshi kwa vijana hao wa kiume na wa kike.
Advertisement
October 2, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing