Kenya imeingia rasmi katika msimu wa mvua wa Oktoba hadi Disemba, huku Idara ya Hali ya Hewa nchini ikitoa tahadhari kuhusu mvua nyingi kupita kiasi katika maeneo kadhaa ya nchi na kutangaza tarehe mahususi za kuanza kwa mvua hizo kwa kila kaunti. Kaimu Mkuu wa Idara ya utabiri wa Hali ya Hewa, Edward Muriuki, alisema mvua imeanza katika baadhi ya maeneo ya kaunti 24, zikiwemo Pwani, Magharibi na Bonde la Ufa, na itaendelea kusambaa. Alisema kaunti zilizosalia zitapata mvua wiki ijayo au wiki inayofuata, huku kaunti za Turkana na Samburu zikitarajiwa kuwa za mwisho kupata mvua hiyo katika wiki ya tatu au ya nne ya mwezi wa Oktoba.
Advertisement
October 2, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing