Waziri wa Ardhi Alice Wahome amemtaka Naibu Rais Rigathi Gachagua kuacha kuingiza siasa katika mpango wa serikali wa nyumba za bei nafuu. Wahome pia amepuuzilia mbali hofu kwamba wanufaika wanaweza kupoteza nyumba zao, akiwahakikishia wale waliotengewa nyumba hizo kuwa zitakuwa mali yao pindi watakapokamilisha malipo. Anasema mpango huo umebuniwa ili kuwapa Wakenya fursa za kumiliki nyumba kwa bei nafuu na kwa usalama.
ALICE WAHOME - GACHAGUA