Vituo vya afya kote nchini lazima vihamie kwenye Mfumo wa Taarifa za Usimamizi wa Afya (HMIS) ulioidhinishwa ifikapo mwisho wa leo au viache kuwahudumia wagonjwa walio chini ya (SHA). Saa sita usiku, mtoa huduma wa sasa wa lango la SHA atafungwa, na kuacha vituo vyote vilivyoidhinishwa vikitegemea mfumo mpya. Waziri wa Afya Aden Duale anasema mabadiliko hayo yatarahisisha shughuli na kuboresha utoaji wa huduma kwa umma.
ADEN DUALE - TRANSITION