Gharama kubwa za kampeni za kisiasa zinawalazimu wagombea kujenga misingi imara ya kifedha kabla ya kuwania nyadhifa za kuchaguliwa, anasema Ken Nyale, aliyewahi kuwania kiti cha useneta wa Kilifi. Anasema kuwa kutegemea michango midogo kutoka kwa wafuasi kumeifanya iwe vigumu kwa wagombea kupata ufadhili kutoka kwa wahisani au vyama vyao.
KEN NYALE - FUNDING