Serikali imesisitiza umuhimu wa kubadilisha na kuongeza vyanzo vya mafuta ili kukidhi mahitaji ya nishati yanayoongezeka nchini. Katibu wa Idara ya Petroli, Mohammed Birik, alisema serikali imedhamiria kusaidia viwanda kwa kuhimiza matumizi ya vyanzo mbadala vya mafuta na kuweka mazingira mazuri kwa ajili ya maendeleo yake.
MOHAMMED BIRIK-FUEL