Waziri wa Fedha John Mbadi amekanusha madai ya baadhi ya viongozi wa upinzani kwamba Rais William Ruto anamiliki hisa katika mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha thamani ya Shilingi trilioni 2 huko Lamu. Kauli ya Mbadi ilifuatia madai yaliyotolewa na kiongozi wa chama cha People’s Party of Kenya, Ndindi Nyoro, aliyedai kuwa watu wenye ushawishi wanaohusishwa na serikali walikuwa wakitafuta hisa katika kiwanda hicho kwa manufaa yao binafsi.
JOHN MBADI - SHARES