Kupuuza amri za mahakama kwa serikali kunaweza kudhoofisha utawala wa sheria na kuimarisha utamaduni wa kutowajibishwa kwa makosa katika jamii. Wakili wa masuala ya katiba, Bobby Mkangi, anasema amri za mahakama hutolewa baada ya uchunguzi wa kina, akisisitiza kuwa mahakama hazichukui hatua bila kusukumwa na shauri husika.

BOBBY MKANGI –ORDERS