Mwanamume mwenye umri wa miaka 70, Kitsao Karisa, ameuawa baada ya kushambuliwa na ndovu eneo la Sokomoko, huko Lunga Lunga, Kaunti ya Kwale. Polisi wanasema Karisa alipata majeraha mabaya yaliyosababisha kifo chake papo hapo saa kumi na moja alfajiri Jumatatu, umbali wa takriban mita 200 kutoka nyumbani kwake. Maafisa wa KWS na polisi walifika eneo la tukio, huku wakaazi wakitaka hatua zichukuliwe kufuatia kuongezeka kwa migogoro kati ya binadamu na wanyamapori.
Advertisement
September 30, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing