Taasisi ya Kimataifa ya Masuala ya Sheria inasema kuwa Kenya inaweza kuzuia maelfu ya visa vya magonjwa ya moyo na vifo kwa kudhibiti mafuta aina ya 'trans' yanayotengenezwa viwandani katika bidhaa za chakula. Ikirejelea utafiti uliofanywa na Taasisi ya George ya Afya Duniani na IILA, shirika hilo linasema kuwa kikomo kilichopendekezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kinaweza kuzuia takriban visa elfu 17 vya magonjwa ya moyo na vifo elfu 2 katika kipindi cha miaka kumi, huku likiokoa takriban Shilingi bilioni 4.1 katika sekta ya afya.
Advertisement
September 30, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing