Kenya inaimarisha uzalishaji wa ndani wa bidhaa za dawa na ushirikiano wa kanuni ili kupanua upatikanaji wa bidhaa bora za afya na kujenga mifumo ya afya imara zaidi kote barani Afrika. Akifungua mkutano wa sita wa PharmaRegAfriSummit 2026, Waziri wa Afya Aden Duale alielezea mikakati ya kupunguza utegemezi wa bidhaa kutoka nje na kuongeza uzalishaji wa ndani. Alibaini kuwa Afrika huagiza kutoka nje zaidi ya asilimia 70 ya bidhaa zake za afya, huku takriban asilimia 85 ya viwanda vya dawa barani humo vikiwa katika nchi nane pekee.

ADEN DUALE - SUPPLY