Waziri wa Afya Aden Duale anasema serikali imejitolea kulipa madeni yanayodaiwa kwa vituo vya afya vilivyotoa huduma chini ya NHIF iliyofutwa. Duale alisema Hazina ya Kitaifa imeombwa kutenga pesa mwezi Oktoba ili kulipa madeni ya NHIF yanayodaiwa kwa vituo vya kidini na vya kibinafsi.

ADEN DUALE - PAY