Afrika imehimizwa kuwacha kutuma mtaji wake nje ya nchi zake na kuanza kuwekeza katika mustakabali wake wa viwanda. Akizungumza katika mkutano wa wawekezaji wa taasisi za Kenya na Afrika Mashariki jijini Nairobi, Rais wa Dangote Group Aliko Dangote alisema kwamba Afrika haiwezi kujenga nguvu inayofanana ya viwanda, kama ile ya nchi za Asia, huku pesa zake zikiendelea kuingia katika benki na masoko ya kigeni. Alisema Afrika lazima iamini bara lao.

ALIKO DANGOTE - INVEST