Rais William Ruto anatarajiwa kuwasili Kilifi leo akiendelea na ziara yake ya maendeleo katika eneo la Pwani. Rais anatarajiwa kugawa hati miliki elfu 27 katika hafla itakayowakutanisha wanufaika kutoka maeneo bunge ya Kilifi Kaskazini, Rabai, Ganze, Kilifi Kusini na Malindi. Wanufaika hao ni pamoja na wakaazi wa Kitengwani, Kalumani Mnyenzeni, Mitsedzini, Mirithini, Gede-Mitangani, Mikanjuni, Chengoni, Mji wa Kilifi, Kaya Fungo, Chumani, Adu Chamari na Chakama, miongoni mwa maeneo mengine.
Advertisement
September 29, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 10AM 22ND OCT
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing