Naibu Gavana wa Mombasa, Francis Thoya, anatoa wito wa kuongezwa kwa juhudi za kuboresha usalama barabarani licha ya kupungua kwa asilimia 15 kwa vifo na majeraha makubwa kulikorekodiwa mwaka wa 2025. Thoya anataka Polisi, Mamlaka ya NTSA, idara za kaunti na washirika kuimarisha hatua za usalama katika barabara zenye hatari kubwa. Ripoti hiyo inaonyesha kuwa vifo vingi vilitokea siku za Jumamosi, huku nyakati hatari zikibainishwa kuwa ni kati ya saa kumi na moja na saa moja asubuhi, na kati ya saa mbili na saa nne usiku.
Advertisement
September 29, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 10AM 22ND OCT
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing