Maeneo ya Kati, Pwani, Magharibi na Kaskazini-Mashariki yanatarajiwa kupata mvua nyepesi hadi ya wastani katika kipindi cha siku saba zijazo. Franklin Komolkorir kutoka Idara ya Hali ya Hewa anasema mvua hiyo inahusishwa na msimu wa mvua fupi ya Oktoba hadi Disemba unaokaribia, huku maeneo mengine yakibaki na hali ya jua na ukavu.
FRANKLIN KOMOLKORIR - RAINS