Mhubiri mmoja kutoka Kilifi amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani kwa kumnajisi binamu yake mwenye umri wa miaka 15 mara mbili na kumsababishia ujauzito wakati wa kipindi cha maombi na kufunga kanisani. Hakimu Mkuu James Mwaniki alimpata na hatia mchungaji huyo kwa kosa la unajisi chini ya Sheria ya Makosa ya Kijinsia, akisema kuwa upande wa mashtaka ulithibitisha kesi hiyo pasipo shaka yoyote.
Advertisement
September 29, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 10AM 22ND OCT
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing