Kenya na Zambia zinachunguza uwezekano wa kuimarisha ushirikiano katika masuala ya udhibiti ili kuboresha usimamizi wa bidhaa na teknolojia za afya na kusaidia uzalishaji wa dawa nchini. Mwenyekiti wa Bodi yaFamasia John Munyu, na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa ya Zambia Makomani Siyanga, walijadili mpango huo pembezoni mwa mkutano wa PharmaRegAfriSummit 2026. Munyu alitoa wito wa kuwepo kwa Mkataba rasmi wa Makubaliano (MoU) ili kujenga uwezo wa wataalamu wa tathmini, wakaguzi na wanasayansi.
Advertisement
September 29, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 10AM 22ND OCT
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing