Mbunge Mteule Askofu Jackson Kosgei amepuuzilia mbali hofu ya kuzuka kwa ghasia zinazohusiana na uchaguzi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao, akisema nchi ina uwezo wa kuandaa uchaguzi wa amani na utulivu. Akizungumza huko Nakuru, Kosgei alihoji usahihi wa ripoti zinazotaja maeneo yanayoweza kukumbwa na ghasia, akionya kuwa ripoti hizo zinaweza kusababisha taharuki na wasiwasi usio wa lazima.
JACKSON KOSGEI – DISMISS