Waziri wa Usalama, Kipchumba Murkomen, amewakosoa viongozi wa upinzani kwa kuapa kuifuta Mamlaka ya Afya ya Jamii SHA iwapo wataingia madarakani mwaka ujao. Murkomen aliwashutumu kwa kuzungumza wakiwa katika nafasi ya upendeleo, huku akiutaja msimamo wao kuwa wa unafiki na usiozingatia changamoto za kila siku zinazowakabili Wakenya wa kawaida wanaotegemea huduma za afya za gharama nafuu.
KIPCHUMBA MURKOMEN - TOA