Waziri Mkuu Musalia Mudavadi amewaonya wanasiasa dhidi ya kutoa matamshi ya kiholela ambayo yanaweza kudhoofisha uaminifu wa Uchaguzi Mkuu wa 2027. Mudavadi aliwakosoa wanasiasa ambao wamedokeza kwamba Rais William Ruto atapata muhula wa pili kwa njia ya udanganyifu, ikiwemo kupitia wizi wa kura. Alisema demokrasia ya Kenya inaweza kudumu tu ikiwa uchaguzi ungekuwa huru, wa haki na wa kuaminika na kuendeshwa bila kuingiliwa.

MUSALIA MUDAVADI - POROJO