Wadau katika Mkutano wa Amani Conference unaofikia kikomo leo wamewahimiza viongozi wa kisiasa kuweka maslahi ya kitaifa juu ya vyama vya kisiasa na watu binafsi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Askofu Geoffrey Njuguna anasema hakuna mwanasiasa au chama cha siasa kilicho kikubwa kuliko Kenya, akisisitiza kwamba nchi lazima iwe kwanza kila wakati. Msajili wa ofisi ya msajili wa vyana vya siasa John Cox pia ametoa wito wa ushirikiano, uwajibikaji na heshima kwa utawala wa sheria, akisema uchaguzi utakuja na kuisha lakini Kenya itabaki.
Advertisement
September 15, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing