Muungano wa Wananchi kuhusu Mageuzi ya Uchaguzi, ukiongozwa na aliyekuwa Jaji Mkuu David Maraga na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Justin Muturi, umewasilisha mapendekezo ya mageuzi ya lazima ya uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Muungano huo unataka kufanyika kwa ukaguzi wa daftari la wapiga kura ili kuondoa majina ya wapiga kura waliofariki, uwazi zaidi katika ununuzi wa teknolojia ya uchaguzi, pamoja na hatua nyingine zinazolenga kuimarisha uaminifu wa mchakato wa uchaguzi.

VOX POP – REFORMS