Watalii wawili wa humu nchini walifariki baada ya boti iliyokuwa imebeba watu saba kupinduka karibu na pwani ya Nyali, katika Kaunti ya Mombasa. Tukio hilo lilitokea Jumamosi, baada ya boti hiyo kuripotiwa kupigwa na mawimbi makali ya bahari wakati ikirejea kutoka Fort Jesus. Boti hiyo ilikuwa na wafanyakazi wawili na watalii watano wa humu nchini. Polisi walisema kuwa miili ya wawili hao ilipatikana Jumapili ufuoni, umbali wa mita chache kutoka mahali ambapo boti hiyo ilipinduka.
Advertisement
September 14, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing