Mgombea wa ugavana wa Nairobi Babu Owino ameishutumu serikali ya Gavana Johnson Sakaja kwa kushindwa kuweka jiji safi na kutoa huduma bora. Akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Linda Mwananchi jana, Mbunge huyo wa Embakasi Mashariki aliahidi kubadilisha usimamizi wa taka kwa kuwapa wakaazi wa eneo hili mikataba ya usafi iwapo atachaguliwa kuwa gavana. Owino pia aliikosoa serikali ya kaunti kuhusu uhaba wa maji unaoendelea na huduma duni katika hospitali za kaunti.

BABU OWINO-WASTE