Gavana wa Kirinyaga, Anne Waiguru, ametunukiwa Tuzo ya 'Champions of Progress Award 2026' kutokana na mipango ya maendeleo endelevu katika kaunti yake. Tuzo hiyo, inayotolewa na kampuni ya Swiss Poll International Research and Consultancy, imekuja muda mfupi baada ya Politrack Africa kumtaja Waiguru kuwa gavana anayefanya vizuri zaidi nchini. Alipata asilimia 61.5 katika Kielezo cha Utendaji wa Magavana, ambacho kilitathmini utendakazi wa magavana wote 47 katika nyanja za kilimo, afya, maji na kuridhika kwa wananchi.
Advertisement
September 11, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing