Waziri Mkuu Musalia Mudavadi amewahakikishia washirika wa kidiplomasia wa Kenya kuhusu uthabiti wa kisiasa, ustahimilivu wa kiuchumi, na dhamira endelevu ya nchi hii katika ushirikiano wa kikanda, amani na usalama. Akizungumza katika mkutano wa robo mwaka wa kutoa taarifa kwa wanadiplomasia, jijini Nairobi, Mudavadi alibaini vipaumbele vya Kenya huku nchi ikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027 na kujiimarisha kama kitovu muhimu cha kiuchumi, kidiplomasia na kiusalama barani.
MUSALIA MUDAVADI – ASSURANCE