Wakimbizi wameibua wasiwasi kuhusu agizo la Rais linalotaka biashara ndogo zinazomilikiwa na wageni bila vibali kupata hati ndani ya siku 90 la sivyo wanakabiliwa na kufukuzwa. Wanasema kupata vibali vya biashara ni mchakato mrefu na unaochosha bila hakikisho la kupata idhini, wakisema kwamba biashara ndogo mara nyingi ndio chanzo chao pekee cha riziki kutokana na fursa chache katika kambi za wakimbizi.

 

VOXPOP – REFUGEES