Wakaazi wa eneo la South Rift na Nairobi wana uwezekano mkubwa wa kuwa waathiriwa wa uhalifu mwaka huu, kulingana na utafiti wa TIFA. Asilimia nane ya Wakenya wanasema walikumbwa na uhalifu binafsi kati ya mwezi Januari na Juni mwaka huu. Eneo la South Rift lilirekodi kiwango cha juu zaidi cha asilimia 14, likifuatiwa na Nairobi na Lower Eastern kwa asilimia 13 kila moja. Maeneo ya Mlima Kenya na Magharibi yalirekodi asilimia 10 kila moja, huku Nyanza ikiwa na asilimia nane.
Advertisement
September 10, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing