Kenya imepiga hatua katika kuondoa uhalifu kwenye kitendo cha kujaribu kujitoa uhai, hatua inayosaidia kupunguza unyanyapaa dhidi ya walionusurika. Mwanasaikolojia Silas Kirinya anasema bado kuna haja ya kufanya zaidi, kwani upatikanaji wa huduma za kisaikolojia bado ni mdogo, huku baadhi ya kampuni za bima zikishindwa kugharamia huduma hizo. Anatoa wito wa kuwepo kwa huduma bora za ushauri nasaha shuleni na vyuoni.
SILAS KIRINYA – HEALTH
Read Also