Seneta mteule Catherine Mumma amemwomba Mama Rachel Ruto, kushinikiza kuwepo kwa kanuni za kudhibiti sigara za kielektroniki zinazoingizwa nchini. Akitoa wito huo katika Kongamano la Kitaifa la Kushughulikia Changamoto Tatu Kuu (Triple Threat) jijini Nairobi, Mumma alielezea kusikitishwa kwake na jinsi bidhaa hizo zilivyofurika katika soko la Kenya bila kuwepo kwa kanuni madhubuti kwa takriban muongo mmoja sasa.
CATHERINE MUMMA – REQUEST
Read Also