Wahamiaji nchini Kenya wana haki zinazohakikishwa chini ya Mswada wa Haki wanapokuwa nchini. Wakili Wangoma Mola anasema wahamiaji wanaoshukiwa kuwa nchini kinyume cha sheria wanapaswa kushughulikiwa kwa kufuata taratibu sahihi za kisheria badala ya kushambuliwa, akibaini kuwa baadhi yao huenda wako nchini kutafuta hifadhi na hivyo wana haki ya kulindwa.

 

WANGOMA MOLA - IMMIGRANTS